Jumuiya ya Madola : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d robot Adding: bn, bs, sh, simple, sr
Mstari 59: Mstari 59:
[[lt:Tautų Sandrauga]]
[[lt:Tautų Sandrauga]]
[[lv:Nāciju sadraudzība]]
[[lv:Nāciju sadraudzība]]
[[ms:Negara-negara Komanwel]]
[[ms:Negara-negara Komanwel British]]
[[nl:Gemenebest van Naties]]
[[nl:Gemenebest van Naties]]
[[no:Samveldet av nasjoner]]
[[no:Samveldet av nasjoner]]

Pitio la 16:24, 25 Agosti 2006

Jumuiya ya Madola (Commonwealth of Nations)

Bendera ya Jumuiya ya Madola
Bendera ya Jumuiya ya Madola

Lugha rasmi Kiingereza
Katibu Mkuu Don McKinnon (tangu 1999)
Chanzo chake mw. 1926 kama jumuiya ya "Kibritania", tangu 1949 kama Jumuiya ya Madola ya kisasa
Madola wanachama 53
Makao Makuu Westminster, London
Mtandao thecommonwealth.org

Jumuiya ya Madola (jina la Kiingereza ni Commonwealth of Nations) inaunganisha nchi mbalimbali hasa Uingereza na nchi zilizokuwa koloni zake.

Umoja huu umeanzishwa mw. 1926 kama "Jumuiya ya Kibritania" (British Commonwealth) na kupewa jina lake la sasa tangu 1949. Inafuatana na Dola la Kibritania au Dola la Kiingereza ambayo ilikuwa dola kubwa kabisa katika histotia ya dunia lakini maeneo yake yalianza kuachana baada ya Vita Kuu vya Pili kutokana na kudhoofishwa kwa Uingereza vitani na miendo ya kupigania uhuru katika nchi mbalimbali hasa India.

Leo zipatao asilimia 30 ya watu wote duniani (watu 1,800,000) huishi katika nchi wanachama za Jumuiya ya Madola. Nchi za jumuiya hii wenye wakazi wengi ni hasa India, Pakistan, Bangladesh na Nigeria. Kuna pia nchi ndogo sana kama Tuvalu yenye wakazi 11,000 pekee.