Karonga : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
Tag: Disambiguation links
No edit summary
Mstari 2: Mstari 2:

Mnamo [[mwaka]] [[2018]], Karonga ilikadiriwa kuwa na wakazi 61,609.
Mnamo [[mwaka]] [[2018]], Karonga ilikadiriwa kuwa na wakazi 61,609.

== Jiografia ==
Karonga iko kwenye mwinuko wa [[mita]] 478 juu ya [[UB]] kwenye ufuo wa [[magharibi]] wa [[Nyasa (ziwa)|Ziwa Nyasa]].<ref name="FR">{{Cite web|url=http://www.fallingrain.com/world/MI/0/Karonga.html|title=Maps, Weather, and Airports for Karonga, Malawi|work=FallingRain Genomics|accessdate=21 June 2008}}</ref>

== Historia ==
== Historia ==
[[Zana]] za [[zama za mawe za kale]] na mabaki ya viumbe waliofanana na [[binadamu]] wa kwanza zinaonyesha kwamba maeneo ya Karonga yalikaliwa mapema sana.
[[Zana]] za [[zama za mawe za kale]] na mabaki ya [[viumbehai]] waliofanana na [[binadamu]] wa kwanza zinaonyesha kwamba maeneo ya Karonga yalikaliwa mapema sana.

Ugunduzi huo ulikuwa katika eneo la [[uchimbaji]] wa Malema {{Convert|10|km|mi|0|abbr=on}} kutoka Karonga.
Ugunduzi huo ulikuwa katika eneo la [[uchimbaji]] wa Malema {{Convert|10|km|mi|0|abbr=on}} kutoka Karonga.
Mstari 12: Mstari 15:
Mnamo Desemba [[2009]] eneo hilo lilipata mfululizo wa [[matetemeko ya ardhi]].
Mnamo Desemba [[2009]] eneo hilo lilipata mfululizo wa [[matetemeko ya ardhi]].

== Jiografia ==
==Tazama pia==
* [[Orodha ya miji ya Malawi]]
Karonga iko kwenye mwinuko wa [[mita]] 478 juu ya [[UB]] kwenye ufuo wa [[magharibi]] wa [[Nyasa (ziwa)|Ziwa Nyasa]].<ref name="FR">{{Cite web|url=http://www.fallingrain.com/world/MI/0/Karonga.html|title=Maps, Weather, and Airports for Karonga, Malawi|work=FallingRain Genomics|accessdate=21 June 2008}}</ref>

== Marejeo ==
== Marejeo ==
{{Marejeo}}
{{Marejeo}}

[[Jamii:Ziwa Nyasa]]
[[Jamii:Ziwa Nyasa]]
[[Jamii:Miji ya Malawi]]
[[Jamii:Miji ya Malawi]]

Pitio la 09:19, 19 Februari 2022

Karonga ni mji kaskazini mwa Malawi kwenye mwambao wa Ziwa Nyasa. Ni makao makuu ya Wilaya ya Karonga inayopakana na Tanzania.

Mnamo mwaka 2018, Karonga ilikadiriwa kuwa na wakazi 61,609.

Jiografia

Karonga iko kwenye mwinuko wa mita 478 juu ya UB kwenye ufuo wa magharibi wa Ziwa Nyasa.[1]

Historia

Zana za zama za mawe za kale na mabaki ya viumbehai waliofanana na binadamu wa kwanza zinaonyesha kwamba maeneo ya Karonga yalikaliwa mapema sana.

Ugunduzi huo ulikuwa katika eneo la uchimbaji wa Malema km 10 (mi 6) kutoka Karonga.

Wakati wa karne ya 19 kabla ya mwaka 1877 Karonga ilifahamika ngome ya Mlozi aliyekuwa mfanyabiashara wa watumwa.[2] Mnamo 1883 kituo cha biashara cha Uingereza kilifunguliwa huko ambacho kiliendelea kikawa chanzo cha mji wa leo. [2] Mvumbuzi Mwingereza Harry Johnston alivamia ngome ya Mlozi na kumaliza utawala wake. [2] Kuanzia hapo Karonga ikawa kituo muhimu cha biashara na kilimo. [2]

Mnamo Desemba 2009 eneo hilo lilipata mfululizo wa matetemeko ya ardhi.

Tazama pia

Marejeo

  1. "Maps, Weather, and Airports for Karonga, Malawi". FallingRain Genomics. Iliwekwa mnamo 21 June 2008.  Check date values in: |accessdate= (help)
  2. 2.0 2.1 2.2 2.3 "Karonga". Encyclopædia Britannica. 2008. http://www.britannica.com/EBchecked/topic/312634/Karonga. Retrieved 8 August 2008.