Jumla : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
 
Mstari 1: Mstari 1:
[[Picha:Plus symbol.svg|thumb|368x368px|Alama ya jumla.]]
[[Picha:Plus symbol.svg|thumb|368x368px|Alama ya jumla.]]
Katika [[hisabati]], '''jumla''' (kwa [[Kiingereza]]: addition) ni moja ya uendeshaji wa [[hesabu]] nne (kwenye [[mgawanyiko]], [[utoaji]] na [[dharuba]]). jumla ni kinyume cha utoaji. Alama ya jumla ni "+".
Katika [[hisabati]], '''jumla''' (kwa [[Kiingereza]]: [[addition]]) ni moja ya uendeshaji wa [[hesabu]] nne (pamoja na [[mgawanyiko]], [[utoaji]] na [[dharuba]]). Jumla ni kinyume cha utoaji. [[Alama]] ya jumla ni "+".
[[Picha:Addition01.svg|thumb|Mfano wa 3+2=5 kwa [[Tofaa|matofaa]]]]
[[Picha:Addition01.svg|thumb|Mfano wa 3+2=5 [[Tofaa|matofaa]].]]
Kwa usahihi, jumla ni mchakato wa kujumlisha [[thamani]] ya [[namba]] moja na thamani ya namba nyingine. Kwa mfano, 3+2 = 5.
Kwa usahihi, jumla ni mchakato wa kujumlisha [[thamani]] ya [[namba]] moja na thamani ya namba nyingine. Kwa mfano, 3+2 = 5.


== Marejeo ==
== Marejeo ==

* Kinyondo, A. R. ''Mazoezi ya hisabati kwa kadi''. Dar es Salaam University Press.
* Kinyondo, A. R. ''Mazoezi ya hisabati kwa kadi''. Dar es Salaam University Press.
{{mbegu-hisabati}}

[[Jamii:Hisabati]]
[[Jamii:Hisabati]]
[[Jamii:Kompyuta]]
[[Jamii:Sayansi]]

Toleo la sasa la 13:45, 18 Agosti 2020

Alama ya jumla.

Katika hisabati, jumla (kwa Kiingereza: addition) ni moja ya uendeshaji wa hesabu nne (pamoja na mgawanyiko, utoaji na dharuba). Jumla ni kinyume cha utoaji. Alama ya jumla ni "+".

Mfano wa 3+2=5 matofaa.

Kwa usahihi, jumla ni mchakato wa kujumlisha thamani ya namba moja na thamani ya namba nyingine. Kwa mfano, 3+2 = 5.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Kinyondo, A. R. Mazoezi ya hisabati kwa kadi. Dar es Salaam University Press.
Makala hii kuhusu mambo ya hisabati bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jumla kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.