Utoaji

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Alama ya utoaji.

Katika hisabati, utoaji (kwa Kiingereza: subtraction) ni moja ya uendeshaji wa hesabu nne (pamoja na mgawanyiko, jumla na dharuba). utoaji ni kinyume cha jumla. Alama ya utoaji ni "-".

Mfano wa 5-2=3 matofaa.

Kwa usahihi, utoaji ni mchakato wa kuondoa thamani ya namba moja katika thamani ya namba nyingine. Kwa mfano, 5 - 2 = 3.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Kinyondo, A. R. Mazoezi ya hisabati kwa kadi. Dar es Salaam University Press.
Makala hii kuhusu mambo ya hisabati bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Utoaji kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.