Mgawanyiko

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Alama ya mgawanyiko

Katika hisabati, mgawanyiko (kwa Kiingereza: division) ni moja ya uendeshaji wa hesabu nne (pamoja na jumla, utoaji na dharuba). Mgawanyiko ni kinyume cha dharuba. Alama ya mgawanyiko ni "/" au ""

Mfano wa 20/4 = matofaa 5.

Kwa usahihi, mgawanyiko ni mchakato wa kuhesabu idadi ya mara ambazo namba fulani inapatikana ndani ya namba nyingine. Kwa mfano, 20/4 = 5 kwa sababu tunaweza kuweka namba "4" mara tano ndani ya namba "20".

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Kinyondo, A. R. Mazoezi ya hisabati kwa kadi. Dar es Salaam University Press.
Makala hii kuhusu mambo ya hisabati bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mgawanyiko kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.