Adamawa (jimbo) : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
+Adamawa_state_contingent_1.jpg #WPWP #WPWPTZ
Mstari 1: Mstari 1:
[[Picha:Adamawa_state_contingent_1.jpg|thumbnail|right|200px|Utamaduni wa Adamawa, Nigeria]]
[[Picha:Jimbo Adamawa Nigeria.png|thumb|right|300px|Mahali pa Adamawa katika [[Nigeria]].]]
[[Picha:Jimbo Adamawa Nigeria.png|thumb|right|300px|Mahali pa Adamawa katika [[Nigeria]].]]
'''Adamawa''' ni [[jimbo]] la kujitawala la [[Nigeria]] lenye wakazi [[milioni]] 3.7 (2005) na eneo la [[km²]] 36,917.
'''Adamawa''' ni [[jimbo]] la kujitawala la [[Nigeria]] lenye wakazi [[milioni]] 3.7 (2005) na eneo la [[km²]] 36,917.

Pitio la 11:11, 4 Agosti 2020

Utamaduni wa Adamawa, Nigeria
Mahali pa Adamawa katika Nigeria.

Adamawa ni jimbo la kujitawala la Nigeria lenye wakazi milioni 3.7 (2005) na eneo la km² 36,917.

Mji mkuu ni Yola na mji mkubwa ni Jimeta wenye wakazi mit 248,166 (2005).

Jimbo liko katika mashariki ya Nigeria, mpakani wa Kamerun. Limepakana na majimbo ya Borno, Gombe na Taraba.

Adamawa ilianzishwa mwaka 1976 kama jimbo kwa jina la Gongola kutokana maeneo ya jimbo la awali la Kaskazini-Mashariki. Mwaka 1991 jina likabadilishwa kuwa Adamawa.


 
Majimbo ya Nigeria
Abia | Abuja Federal Capital Territory | Adamawa | Akwa Ibom | Anambra | Bauchi | Bayelsa | Benue | Borno | Cross River | Delta | Ebonyi | Edo | Ekiti | Enugu | Gombe | Imo | Jigawa | Kaduna | Kano | Katsina | Kebbi | Kogi | Kwara | Lagos | Nasarawa | Niger | Ogun | Ondo | Osun | Oyo | Plateau | Rivers | Sokoto | Taraba | Yobe | Zamfara
Makala hii kuhusu maeneo ya Nigeria bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Adamawa (jimbo) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.