Jimbo la Imo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Imo (jimbo))
Jimbo la Imo
Jina la utani la jimbo: Eastern Heartland
Eneo lililoko Jimbo la Imo nchini Nigeria
Takwimu
Gavana
(Orodha)
Ikedi Godson Ohakim (PDP)
Tarehi lililoanzishwa 3 Februari 1976
Mji mkuu Owerri
Eneo 5,530 km²
Kuorodheshwa-namba 34
Idadi ya Watu
Sensa ya mwaka wa 1991
kuoropdheshwa-13
3,934,899[1]
GDP (PPP)
 -Jumla
 -Per Capita
2007 (kadirio)
$14.21 bilioni[2]
$3,527[2]
ISO 3166-2 NG-IM
Jimbo la Imo, Nigeria
Mahali pa Imo katika Nigeria

Jimbo la Imo ni moja ya majimbo 36 ya Nigeria na liko kusini mwa nchi hiyo ya Afrika Magharibi, na Owerri ukiwa mji mkuu na mji mkubwa.

Historia[hariri | hariri chanzo]

Jimbo la Imo liliundwa mwaka wa 1976 pamoja na majimbo mengine mapya yaliyoanzishwa chini ya uongozi wa mtawala wa kijeshi wa Nigeria, Murtala Muhammad, hapo awali likiwa sehemu ya Jimbo la Mashariki ya Kati.

Jina la Jimbo linatokana na jina la Mto Imo [3] Jimbo lilimegwa mwaka wa 1991 na kuunda Jimbo la Abia, na sehemu nyingine ikabakia Jimbo la Ebonyi.


Jiografia na maliasili[hariri | hariri chanzo]

Mto Orashi una chanzo katika jimbo hili.

Mbali na Owerri, miji mikubwa ya Jimbo la Imo ni Isu, Okigwe, Oguta, Orlu, Mbaise, Mbieri, Orodo na Orsu.

Jimbo hili ni tajiri kwa mafuta yasiyosafishwa, gesi asilia na ardhi yenye rutuba kwa kilimo.

Lugha rasmi[hariri | hariri chanzo]

Mbali ya Kiingereza, lugha ya mitaa ni Kiigbo na Ukristo ndio dini ya wengi.

Serikali za Mitaa[hariri | hariri chanzo]

Jimbo la Imo linajumuisha Maeneo ya Serikali za Mitaa ishirini na saba:

Takwimu za watu[hariri | hariri chanzo]

Imo ni jimbo haswa la waongeaji wa lugha ya Kiigbo, Waigbo wakijumuisha 98% Archived 14 Oktoba 2017 at the Wayback Machine. ya watu wote.

Watu mashuhuri[hariri | hariri chanzo]

Watu mashuhuri kutoka jimbo hili ni pamoja na:

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Federal Republic of Nigeria Official Gazette (15 Mei 2007). Legal Notice on Publication of the Details of the Breakdown of the National and State Provisional Totals 2006 Census (PDF). Jalada kutoka ya awali juu ya 2007-07-04. Iliwekwa mnamo 2007-05-19.
  2. 2.0 2.1 C-GIDD (Canback Global Income Distribution Database). Canback Dangel. Iliwekwa mnamo 2008-08-20.
  3. Physical Setting: Imo State. OnlineNigeria.com. Devace Nigeria. Jalada kutoka ya awali juu ya 2007-09-26. Iliwekwa mnamo 2007-08-13.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]


 
Majimbo ya Nigeria
Abia | Abuja Federal Capital Territory | Adamawa | Akwa Ibom | Anambra | Bauchi | Bayelsa | Benue | Borno | Cross River | Delta | Ebonyi | Edo | Ekiti | Enugu | Gombe | Imo | Jigawa | Kaduna | Kano | Katsina | Kebbi | Kogi | Kwara | Lagos | Nasarawa | Niger | Ogun | Ondo | Osun | Oyo | Plateau | Rivers | Sokoto | Taraba | Yobe | Zamfara
Makala hii kuhusu maeneo ya Nigeria bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Jimbo la Imo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.