Mto Imo
Mandhari
Mto Imo ni mto nchini Nigeria.
Chanzo chake kinapatikana Okigwe kwenye jimbo la Imo. Unaishia kwenye bahari ya Atlantiki. Mto huu unalisha eneo la kinamasi lenye ukubwa wa heka 26,000 na ujazo wa kilomita za ujazo 4 za maji ya mvua kwa mwaka.
Jamii zinazokaa pembezoni mwa mto zinaamini kuna mungu wa kike anayeitwa Imo Mmiri ndiye anayemiliki mto huo.[1]
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Uzor, Peter Chiehiụra (2004). The traditional African concept of God and the Christian concept of God. Peter Lang. p. 310. ISBN 3-631-52145-6.
Makala hii kuhusu maeneo ya Nigeria bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mto Imo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |