Jimbo la Imo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Jimbo la Imo
Jina la utani la jimbo: Eastern Heartland
Eneo lililoko Jimbo la Imo nchini Nigeria
Takwimu
Gavana
(Orodha)
Ikedi Godson Ohakim (PDP)
Tarehi lililoanzishwa 3 Februari 1976
Mji mkuu Owerri
Eneo 5,530 km²
Kuorodheshwa-namba 34
Idadi ya Watu
Sensa ya mwaka wa 1991
kuoropdheshwa-13
3,934,899[1]
GDP (PPP)
 -Jumla
 -Per Capita
2007 (kadirio)
$14.21 bilioni[2]
$3,527[2]
ISO 3166-2 NG-IM
Jimbo la Imo, Nigeria
Mahali pa Imo katika Nigeria

Jimbo la Imo ni moja ya majimbo 36 ya Nigeria na liko kusini mwa nchi hii ya Afrika Magharibi, na Owerri kama mji mkuu na mji mkubwa.

Historia[hariri | hariri chanzo]

Jimbo la Imo liliumbwa mwaka wa 1976 pamoja na majimbo mengine mapya yaliyoumbwa chini ya uongozi wa marehemu mtawala wa kijeshi wa Nigeria, Murtala Muhammad, hapo awali likiwa sehemu ya Jimbo la Mashariki ya Kati. Jina la Jimbo linatokana na jina la Mto Imo [3] Jimbo lilipasuliwa mwaka wa 1991 na kuunda Jimbo la Abia, na sehemu nyingine ikabakia Jimbo la Ebonyi.

Miji kuu katika Jimbo hili ni Owerri, Okigwe na Orlu. Mto Orashi una chanzo katika jimbo hii. Lugha ya mitaa ni Igbo na Ukristo ndio dini ya wengi.

Jiografia na maliasili[hariri | hariri chanzo]

Mbali na Owerri, miji mikubwa ya Jimbo la Imo ni Isu, Okigwe, Oguta, Orlu, Mbaise, Mbieri, Orodo na Orsu. Jimbo hili ni tajiri kwa mafuta yasiyosafishwa, gesi asilia na ardhi yenye rutuba kwa kilimo.

Lugha rasmi[hariri | hariri chanzo]

Kiingereza, Igbo

Serikali za Mitaa[hariri | hariri chanzo]

Jimbo la Imo linajumuisha Maeneo ya Serikali za Mitaa ishirini na saba:

width=33% width=33% width=33%

Takwimu za watu[hariri | hariri chanzo]

Imo ni jimbo haswa la waaongezi wa lugha ya Igbo, wazungumzaji Waigbo wakijumuisha 98% Archived 14 Oktoba 2017 at the Wayback Machine. ya watu wote.

Watu mashuhuri[hariri | hariri chanzo]

Watu mashuhuri kutoka jimbo hili ni pamoja na:

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Federal Republic of Nigeria Official Gazette (15 Mei 2007). Legal Notice on Publication of the Details of the Breakdown of the National and State Provisional Totals 2006 Census (PDF). Jalada kutoka ya awali juu ya 2007-07-04. Iliwekwa mnamo 2007-05-19.
  2. 2.0 2.1 C-GIDD (Canback Global Income Distribution Database). Canback Dangel. Iliwekwa mnamo 2008-08-20.
  3. Physical Setting: Imo State. OnlineNigeria.com. Devace Nigeria. Jalada kutoka ya awali juu ya 2007-09-26. Iliwekwa mnamo 2007-08-13.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]


 
Majimbo ya Nigeria
Flag of Nigeria.svg
Abia | Abuja Federal Capital Territory | Adamawa | Akwa Ibom | Anambra | Bauchi | Bayelsa | Benue | Borno | Cross River | Delta | Ebonyi | Edo | Ekiti | Enugu | Gombe | Imo | Jigawa | Kaduna | Kano | Katsina | Kebbi | Kogi | Kwara | Lagos | Nasarawa | Niger | Ogun | Ondo | Osun | Oyo | Plateau | Rivers | Sokoto | Taraba | Yobe | Zamfara
Flag-map of Nigeria.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Nigeria bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Jimbo la Imo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.