Kiazeri-Kaskazini : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
d kuondoa kiungo cha ramani using AWB
d Riccardo Riccioni alihamisha ukurasa wa Kiazeri ya Kaskazini hadi Kiazeri-Kaskazini: usahihi wa jina
(Hakuna tofauti)

Pitio la 09:17, 22 Aprili 2020

Kiazeri za Kaskazini ni lugha ya Kiturki nchini Azerbaijan, Urusi, Georgia na Armenia inayozungumzwa na Waazeri. Ni lugha rasmi nchini Azerbaijan. Ni lugha tofauti na Kiazeri ya Kusini nchini Uajemi. Hata hivyo wengine huangalia hizo lugha mbili kuwa lugha moja tu, yaani Kiazeri. Mwaka wa 2010 idadi ya wasemaji wa Kiazeri ya Kaskazini nchini Azerbaijan imehesabiwa kuwa watu milioni nane na robo. Pia kuna wasemaji 473,000 nchini Urusi (2010), 360,000 nchini Georgia (2007) na 161,000 nchini Armenia (1993). Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiazeri za Kaskazini iko katika kundi la Kiturki ya Kusini.

Viungo vya nje

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiazeri-Kaskazini kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.