Maisha : Tofauti kati ya masahihisho
Saidy
No edit summary |
Saidy Tags: Mobile edit Mobile web edit |
||
Mstari 1:
'''Maisha''' ni [[muda]] ambao [[kiumbe hai]] anajaliwa kuishi. Ni hali tofauti kabisa na [[uzima]] wa [[milele]], kwa kuwa [[uhai]] wake una mwanzo na mwisho.
Hasa mwisho unasababisha maswali: kama kila chenye mwanzo kina mwisho, ya nini kuwepo kwake? Kukosa lengo, kuwepo bure, kutokuwa na maana kunamfanya mtu ajisikie mnyonge,
Ndiyo sababu [[maana ya maisha]] ni mojawapo kati ya masuala makuu ya [[binadamu]] [[duniani]]: hawezi kukwepa maswali ya kutoka [[Moyo|moyoni]] mwake kuhusu thamani, madhumuni na umuhimu wa maisha yake.
|