Catherine Valentine Magige : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
'''Catherine Valentine Magige''' alizaliwa 8/5/1981 mkoani Arusha. Alpata elimu yake ya Msingi katika shule ya msingi Kimandolu kuanzia 1989-1995 na elimu ya sekondari katika shule wa wasichana Ngarenaro kuanzia 1996-1999.<ref>https://www.jamiiforums.com/threads/wasifu-wa-ndani-mh-catherine-magige-na-nia-yake-ya-2015.290791/ </ref>. Ni [[mwanasiasa]] [[Mtanzania]] na mwanachama wa [[chama cha kisiasa]] cha [[CCM]]. Amechaguliwa kuwa [[Wabunge wa Tanzania 2015|mbunge]] wa [[Viti maalum vya wanawake]] kwa miaka mitano ([[2015]] – [[2020]]. ) <ref>[http://www.parliament.go.tz/administrations/ Tovuti ya Bunge la Tanzania], iliangaliwa Mei 2017</ref> 2014 alikuwa mwakilishi katika bunge la Katiba <ref>https://www.jamiiforums.com/threads/wasifu-wa-ndani-mh-catherine-magige-na-nia-yake-ya-2015.290791/ </ref>
'''Catherine Valentine Magige''' (alizaliwa [[Mkoa wa Arusha|mkoani Arusha]] [[8 Mei]] [[1981]]) ni [[mwanasiasa]] [[Mtanzania]] na mwanachama wa [[chama cha kisiasa]] cha [[CCM]]. Amechaguliwa kuwa [[Wabunge wa Tanzania 2015|mbunge]] wa [[Viti maalum vya wanawake]] kwa miaka mitano ([[2015]] – [[2020]] <ref>[http://www.parliament.go.tz/administrations/ Tovuti ya Bunge la Tanzania], iliangaliwa Mei 2017</ref>)


==Marejeo==
==Maisha==
Alipata elimu yake ya msingi katika shule ya msingi Kimandolu kuanzia 1989-1995 na elimu ya sekondari katika shule wa wasichana Ngarenaro kuanzia 1996-1999.<ref>https://www.jamiiforums.com/threads/wasifu-wa-ndani-mh-catherine-magige-na-nia-yake-ya-2015.290791/ </ref>.


Mwaka 2014 alikuwa mwakilishi katika bunge la Katiba <ref>https://www.jamiiforums.com/threads/wasifu-wa-ndani-mh-catherine-magige-na-nia-yake-ya-2015.290791/ </ref>
<references/> {{Mbegu-wanasiasa-Tanzania}}

==Marejeo==
<references/>
{{Mbegu-wanasiasa-Tanzania}}
{{BD|1981|}}
[[Jamii:Wanasiasa wa Tanzania]]
[[Jamii:Wanasiasa wa Tanzania]]
[[Jamii:Bunge la Tanzania]][[Jamii:Wanasiasa wanawake Tanzania]]
[[Jamii:Bunge la Tanzania]][[Jamii:Wanasiasa wanawake Tanzania]]

Pitio la 07:09, 26 Januari 2020

Catherine Valentine Magige (alizaliwa mkoani Arusha 8 Mei 1981) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CCM. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Viti maalum vya wanawake kwa miaka mitano (20152020 [1])

Maisha

Alipata elimu yake ya msingi katika shule ya msingi Kimandolu kuanzia 1989-1995 na elimu ya sekondari katika shule wa wasichana Ngarenaro kuanzia 1996-1999.[2].

Mwaka 2014 alikuwa mwakilishi katika bunge la Katiba [3]

Marejeo

  1. Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017
  2. https://www.jamiiforums.com/threads/wasifu-wa-ndani-mh-catherine-magige-na-nia-yake-ya-2015.290791/
  3. https://www.jamiiforums.com/threads/wasifu-wa-ndani-mh-catherine-magige-na-nia-yake-ya-2015.290791/