Selulosi : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
 
Mstari 2: Mstari 2:
'''Selulosi''' (kutoka [[neno]] la [[Kiingereza]] "cellulose"<ref>https://en.wikipedia.org/wiki/Cellulose</ref>) ni [[tishu]] iundayo sehemu kubwa ya [[miti]] na [[mimea]] mingine.
'''Selulosi''' (kutoka [[neno]] la [[Kiingereza]] "cellulose"<ref>https://en.wikipedia.org/wiki/Cellulose</ref>) ni [[tishu]] iundayo sehemu kubwa ya [[miti]] na [[mimea]] mingine.


[[Kemia|Kikemia]] inaundwa na sehemu nyingi za [[glukosi]] yenye [[fomula]] (C<sub>6</sub>H<sub>10</sub>O<sub>5</sub>)n zinazounganishwa kuwa molekuli ndefu ([[polima]]).
[[Kemia|Kikemia]] inaundwa na sehemu nyingi za [[glukosi]] yenye [[fomula]] (C<sub>6</sub>H<sub>10</sub>O<sub>5</sub>)n zinazounganishwa kuwa [[molekuli]] ndefu ([[polima]]).


Selulosi inapatikana zaidi kwenye mimea ya kijani na inatengeneza [[kiwambaseli]] cha mmea.
Selulosi inapatikana zaidi kwenye mimea ya [[rangi]] ya [[kijani]] na inatengeneza [[kiwambaseli]] cha mmea.


Selulosi haiwezi kuliwa na wanyama lakini spishi kadhaa kama vile [[mchwa]] na [[ng'ombe]] hutunza bakteria kwenye tumbo zao zinazovunja molekuli za selulosi kwa sehemu ndogo zaidi zinazoweza kumeng’enywa.
Selulosi haiwezi kuliwa na [[wanyama]] lakini [[spishi]] kadhaa, kama vile [[mchwa]] na [[ng'ombe]], hutunza [[bakteria]] katika [[Tumbo|matumbo]] yao wanaovunja molekuli za selulosi kwa sehemu ndogo zaidi zinazoweza kumeng’enywa.


==Tanbihi==
==Tanbihi==

Toleo la sasa la 06:37, 16 Januari 2020

Selulosi.

Selulosi (kutoka neno la Kiingereza "cellulose"[1]) ni tishu iundayo sehemu kubwa ya miti na mimea mingine.

Kikemia inaundwa na sehemu nyingi za glukosi yenye fomula (C6H10O5)n zinazounganishwa kuwa molekuli ndefu (polima).

Selulosi inapatikana zaidi kwenye mimea ya rangi ya kijani na inatengeneza kiwambaseli cha mmea.

Selulosi haiwezi kuliwa na wanyama lakini spishi kadhaa, kama vile mchwa na ng'ombe, hutunza bakteria katika matumbo yao wanaovunja molekuli za selulosi kwa sehemu ndogo zaidi zinazoweza kumeng’enywa.

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya biolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Selulosi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.