Glukosi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Molekuli ya glukosi kwa umbo la mviringo

Glukosi (C6H12O6; kutoka Kigiriki "γλυκύς", tamu) ni sukari ya monosakaridi kwa hiyo aina ya kabohidrati.

Ni kabohidarti muhimu katika biolojia. Seli huitumia kama chanzo cha nishati na nguvu.

Glukosi hujengwa na seli za mimea katika mchakato wa usanisinuru.

Makala hii kuhusu mambo ya kemia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Glukosi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.