Tofauti kati ya marekesbisho "Uainishaji wa kisayansi"

Jump to navigation Jump to search
939 bytes removed ,  mwaka 1 uliopita
no edit summary
Tags: Mobile edit Mobile web edit
NYOKO.Ni neno linalotumika na kabila moja la afrika ya kati likiwa na maana ya NAKUPENDA. Au hutumika kwa wapenzi tu ndugu au jamaa hawawezi ambiana NYOKO. Binti atakaye mtamkia mpenzi wake NYOKO inamaana pia kumjulisha kua anahitaji tendo la ndoa muda huo.
[[Picha:Uainishaji.png|right|thumb|150px|Ngazi za uainishaji katika biolojia; ngazi ndogo za kati hazionyeshwi.]]
'''Uainishaji wa kisayansi''' ([[ing.]] ''[[:simple:biological classification|biological classification]], [[:en:taxonomy (biology)|taxonomy]]'') ni jinsi [[wataalamu]] wa [[biolojia]] wanavyopanga [[viumbehai]] kama [[mimea]] na [[wanyama]] kwa vikundi kwenye ngazi mbalimbali. Inaweza kuitwa pia '''taksonomia'''.
 
Tangu muda mrefu watu walitambua ya kwamba wanyama au mimea mbalimbali wanafanana kati yao kwa namna moja au nyingine. Wataalamu walijaribu kupanga aina hizo kwa vikundi vyenye tabia za pamoja. [[Carolus Linnaeus]] alianza kuzipanga kwa muundo ulioeleweka kulingana na tabia za [[maumbile]] yao.
 
Mfumo wa Linnaeus uliendelezwa baadaye kulingana na [[nadharia]] ya [[Charles Darwin]] inayoona ya kwamba [[spishi]] mbalimbali huwa na [[chanzo]] cha pamoja, kwa hiyo inawezekana kupanga [[uhai]] wote kama [[mti]] yenye [[tawi|matawi]] makubwa, tena madogo yanayotoka kwenye makubwa.
 
[[Ujuzi]] wa kisasa kutokana na [[utafiti]] wa [[DNA]] ndani ya [[seli]] za viumbehai unaendelea kuongeza ujuzi wetu kwa hiyo katika mengi uainishaji ni utaalamu unaozidi kubadilika.
 
== Majina ya Kisayansi ==
Anonymous user

Urambazaji