107,278
edits
Pbm (majadiliano | michango) (minor technical edit) |
No edit summary |
||
[[Picha:SafrikaIMG 8414.JPG|thumb|350px|Majengo ya gereza la Robben Island. [[Mlima wa Meza]] nyuma]]
[[Picha:Robben_island_from_table_mountain.jpg|thumb|350px|right|Robben Island inavyoonekana kutoka [[Mlima wa Meza]]]]
'''Robben Island''' ni [[kisiwa]] kidogo 12 [[km]] mbele ya [[mji]] wa [[Cape Town]] ([[Afrika Kusini]]) katika [[Atlantiki]].▼
▲'''Robben Island''' ni kisiwa kidogo 12 [[km]] mbele ya mji wa [[Cape Town]] ([[Afrika Kusini]]) katika [[Atlantiki]].
▲Kisiwa kina eneo la [[hektari]] 547, urefu ni 4.5 km na upana hadi 1.5 km.
Kisiwa kimejulikana kutokana na [[gereza]] lake na mfungwa mashuhuri [[Nelson Mandela]]. Wafungwa pamoja naye walikuwa [[Walter Sisulu]], [[Govan Mbeki]] na [[Robert Sobukwe]].
Siku hizi kisiwa ni [[makumbusho]] na hifadhi
Kipo kwenye orodha ya [[UNESCO]] ya [[Urithi wa Dunia]].
{{mbegu-jio-AfrikaKusini}}
[[Jamii:Afrika Kusini]]
[[Jamii:Urithi wa Dunia]]
|