Mwese : Tofauti kati ya masahihisho
d wa wa --> wa; new lines; double spaces using AWB |
No edit summary Tags: Mobile edit Mobile web edit |
||
Mstari 18: | Mstari 18: | ||
}} |
}} |
||
'''Mwese''' ni jina la kata ya [[Wilaya ya Mpanda Vijijini]] katika [[Mkoa wa Katavi]], [[Tanzania]]. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 7,520 waishio |
'''Mwese''' ni jina la kata ya [[Wilaya ya Mpanda Vijijini]] katika [[Mkoa wa Katavi]], [[Tanzania]]. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 7,520 waishio |
||
Kata ya mwese inachabihiana na mkoa wa kilimanjaro kuanzia kilimo Cha migomba na kahawa kwa sababu sehemu kubwa ya wakazi wa kata hiyo ni Kabila la Wachagga ambao walihamishiwa hapo na Mwalimu Julius Nyerere kwenye miaka ya mwanzo ya 1970 . |
|||
Pia wapo wachache wanaotokana na kabila la Watutsi walio pesa urais na Wakikuyu ambao walibakia Tanznaia baada ya Uhuru na kuletwa na kundi la |
|||
VIVUTIO VYA UTALII ... kwenye kata ya mwese kuna moto ambao unajulikana kama MTO MAPACHA ambao unaaminika kuwa wanaokunywa maji yake basi wakikutana wana uwezekano mkubwa wa kupata MAPACHA ; sehemu kubwa ya wakati wa Mwese wamebarikiwa mapacha |
|||
Katika kata ya Mwese pia wanatumia vinywaji maarufu vinavyopatikana KILIMANJARO kama Mbegge . |
|||
<ref>[http://www.wavuti.weebly.com/uploads/3/0/7/6/3076464/census20general20report20-202920march202013_combined_final20for20printing1.pdf Sensa ya 2012, Katavi - Mpanda District Council]</ref> |
|||
==Marejeo== |
==Marejeo== |
Pitio la 05:04, 13 Oktoba 2019
Kata ya Mwese | |
Nchi | Tanzania |
---|---|
Mkoa | Rukwa |
Wilaya | Mpanda |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 7,520 |
Mwese ni jina la kata ya Wilaya ya Mpanda Vijijini katika Mkoa wa Katavi, Tanzania. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 7,520 waishio
Kata ya mwese inachabihiana na mkoa wa kilimanjaro kuanzia kilimo Cha migomba na kahawa kwa sababu sehemu kubwa ya wakazi wa kata hiyo ni Kabila la Wachagga ambao walihamishiwa hapo na Mwalimu Julius Nyerere kwenye miaka ya mwanzo ya 1970 .
Pia wapo wachache wanaotokana na kabila la Watutsi walio pesa urais na Wakikuyu ambao walibakia Tanznaia baada ya Uhuru na kuletwa na kundi la
VIVUTIO VYA UTALII ... kwenye kata ya mwese kuna moto ambao unajulikana kama MTO MAPACHA ambao unaaminika kuwa wanaokunywa maji yake basi wakikutana wana uwezekano mkubwa wa kupata MAPACHA ; sehemu kubwa ya wakati wa Mwese wamebarikiwa mapacha
Katika kata ya Mwese pia wanatumia vinywaji maarufu vinavyopatikana KILIMANJARO kama Mbegge .
Marejeo
Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Katavi bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno. |