Jamii : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d Masahihisho aliyefanya Kbij zepha (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na 41.59.27.83
Tag: Rollback
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
[[File:BushmenSan.jpg|thumb|Jamii ya watu wanaoishi bado kama kale ([[Wasan]] wa [[Afrika Kusini]]).]]
[[File:BushmenSan.jpg|thumb|Jamii ya Wakusanyaji na Wavindaji ([[Wasan]] pale [[Afrika Kusini]])]]
[[File:Detail of Les tres riches heures - March.jpg|thumb|[[Mkulima]] wa [[karne ya 15]] akitumia [[ng'ombe]] na [[plau]].]]
[[File:Detail of Les tres riches heures - March.jpg|thumb|[[Mkulima]] wa [[karne ya 15]] akitumia [[ng'ombe]] na [[plau]].]]
[[File:Dongmen.JPG|thumb|Mfano wa jamii ya watu wanaoishi pamoja ([[China]]).]]
[[File:Dongmen.JPG|thumb|Mfano wa jamii ya watu wanaoishi pamoja ([[China]]).]]
Mstari 9: Mstari 9:

Jamii bora inahitaji watu wenye upendo: watu wakipendana huweza kuishi na kujenga jamii bora, hivyo ni vyema watu wa sehemu husika wapendane ili waweze kujenga jamii ya namna hiyo.
Jamii bora inahitaji watu wenye upendo: watu wakipendana huweza kuishi na kujenga jamii bora, hivyo ni vyema watu wa sehemu husika wapendane ili waweze kujenga jamii ya namna hiyo.

{{mbegu-sayansi}}

[[Jamii:Jamii|!]]
[[Jamii:Elimu jamii]]

Pitio la 16:42, 26 Mei 2019

Jamii ya Wakusanyaji na Wavindaji (Wasan pale Afrika Kusini)
Mkulima wa karne ya 15 akitumia ng'ombe na plau.
Mfano wa jamii ya watu wanaoishi pamoja (China).

Jamii ni istilahi inayoelezea uwepo wa pamoja wa mwanadamu (kwa pamoja, inataja jumla ya mitandao ya kijamii na nguvu ya mitandao yake).

Haitaji kila kitu ambacho mtu anafikiria kuwa nacho au hana, bali yale ya mambo ambayo kila mtu anayetenda kwa dhumuni maalumu.

Jamii ni watu wanaokaa pamoja na kushirikiana kwa mambo mbalimbali, kwa mfano masuala ya afya, elimu na ulinzi: mambo hayo yanapowakutanisha watu hujenga kitu kinachoitwa jamii, jamii hujenga umoja na upendo baina ya watu husika.

Jamii bora inahitaji watu wenye upendo: watu wakipendana huweza kuishi na kujenga jamii bora, hivyo ni vyema watu wa sehemu husika wapendane ili waweze kujenga jamii ya namna hiyo.