Sadaka : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Legobot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 42 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q179723 (translate me)
kuhusu sadaka
Mstari 1: Mstari 1:
[[File:MarcusAureliusSacrificeRelief.jpg|thumb|230px|[[Marcus Aurelius]] na wanafamilia wake wakitoa sadaka ya [[shukrani]] kwa kushinda [[Wagermanik]]: jinsi ilivyochongwa wakati huo katika [[marumaru]], [[Roma]], [[Italia]].]]

'''Sadaka''' ni toleo la chochote, kama vile chakula, vitu au wanyama, kwa lengo la juu, hasa la kidini, kwa mfano kumheshimu [[Mungu]] na kujiombea [[fadhili]] fulani toka kwake.
'''Sadaka''' ni toleo la chochote, kama vile chakula, vitu au wanyama, kwa lengo la juu, hasa la kidini, kwa mfano kumheshimu [[Mungu]] na kujiombea [[fadhili]] fulani toka kwake.Umuhimu wa sadaka katika uislamu:
Zaka ni faradhi katika faradhi za Dini ya Kislamu, na ni nguzo ya tatu katika nguzo za Uislamu, Anasema Mwenyezi Mungu Mtukufu: {Na simamisheni swala na toeni zaka} (Suratu An-Nur: 56),

Na akasema Mtume ﷺ: (Umejengwa Uislamu kwa mambo matano: Kushuhudia ya kwamba hapana mola apasaye kuabudiwa kwa haki isipokuwa Mwenyezi Mungu na kwamba Muhammad ni mja wake na ni Mtume wake, na kusimamisha Swala (tano za kila siku), na kutoa Zaka, na kuhiji nyumba tukufu (Al-ka’abah – ilioko Makkah), na kufunga Mwezi wa Ramadhani) [Imepokewa na Bukhari na Muslim.].

==Kafara==
==Kafara==
Mstari 19: Mstari 22:
* {{cite book|last=Carter|first=Jeffrey|year=2003|title=Understanding Religious Sacrifice|publisher=Continuum|isbn=0-8264-4880-1}}
* {{cite book|last=Carter|first=Jeffrey|year=2003|title=Understanding Religious Sacrifice|publisher=Continuum|isbn=0-8264-4880-1}}
* {{cite book|last=Hubert|first=Henri|coauthors=Marcel Mauss|title=Sacrifice: Its Nature and Function|publisher=U of Chicago Press(reprint, orig 1898)|year=1981|isbn=0-226-35679-5}}
* {{cite book|last=Hubert|first=Henri|coauthors=Marcel Mauss|title=Sacrifice: Its Nature and Function|publisher=U of Chicago Press(reprint, orig 1898)|year=1981|isbn=0-226-35679-5}}
*https://www.al-feqh.com/sw/zaaka-hukumu-yake-na-masharti-yake

==Tanbihi==
==Tanbihi==
{{Marejeo}}
{{Marejeo}}

Pitio la 09:11, 25 Septemba 2018

Marcus Aurelius na wanafamilia wake wakitoa sadaka ya shukrani kwa kushinda Wagermanik: jinsi ilivyochongwa wakati huo katika marumaru, Roma, Italia.

Sadaka ni toleo la chochote, kama vile chakula, vitu au wanyama, kwa lengo la juu, hasa la kidini, kwa mfano kumheshimu Mungu na kujiombea fadhili fulani toka kwake.Umuhimu wa sadaka katika uislamu: Zaka ni faradhi katika faradhi za Dini ya Kislamu, na ni nguzo ya tatu katika nguzo za Uislamu, Anasema Mwenyezi Mungu Mtukufu: {Na simamisheni swala na toeni zaka} (Suratu An-Nur: 56),

Na akasema Mtume ﷺ: (Umejengwa Uislamu kwa mambo matano: Kushuhudia ya kwamba hapana mola apasaye kuabudiwa kwa haki isipokuwa Mwenyezi Mungu na kwamba Muhammad ni mja wake na ni Mtume wake, na kusimamisha Swala (tano za kila siku), na kutoa Zaka, na kuhiji nyumba tukufu (Al-ka’abah – ilioko Makkah), na kufunga Mwezi wa Ramadhani) [Imepokewa na Bukhari na Muslim.].

Kafara

Kafara ya Waazteki ya kumchinja mtu, ilivyochorwa katika Codex Mendoza, karne ya 16, (Bodleian Library, Oxford).

Kama sadaka inaendana na uchinjaji wa binadamu au mnyama inaweza kuitwa kafara.

Aina nyingine za sadaka

  1. Fungu la Kumi
  2. Malimbuko
  3. Nadhiri

Marejeo

Tanbihi