Mchwa : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 65: Mstari 65:


== Usumbufu wa mchwa ==
== Usumbufu wa mchwa ==
Hata hivyo, watu wengi huona mchwa kama kimelea anayewasumbua haswa anapoishi karibu na majengo ya watu. Mchwa hula mbao na kwa hiyo huharibu milango ya nyumba na kuuma watu. Kwa hiyo, watu wengi hutafuta [https://pestpolicy.com/best-fire-ant-killer-for-lawns/ ant killers].
Hata hivyo, watu wengi huona mchwa kama kimelea anayewasumbua haswa anapoishi karibu na majengo ya watu. Mchwa hula mbao na kwa hiyo huharibu milango ya nyumba na kuuma watu. Kwa hiyo, watu wengi hutafuta [https://pestpolicy.com/best-fire-ant-killer-for-lawns/ ant killers]. Wanaofanya taaluma ya [https://bestpestcontrolperth.com.au/ pest control] kwanza huangalia mchwa ni wa aina gani ili aweze kujua amejificha wapi maana wao hujifinya pahala kwingi.


== Viungo vya nje ==
== Viungo vya nje ==

Pitio la 14:30, 11 Septemba 2018

Mchwa
Mchwa wafanya kazi na askari
Mchwa wafanya kazi na askari
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Arthropoda (Wanyama wenye miguu yenye viungo)
Nusufaila: Hexapoda (Wanyama wenye miguu sita)
Ngeli: Insecta (Wadudu)
Nusungeli: Pterygota (Wadudu wenye mabawa)
Oda: Blattodea
Oda ya chini: Isoptera (Wadudu ambao mabawa yao yote ni sawa)
Ngazi za chini

Familia 10:

  • †Archeorhinotermitidae
  • Archotermopsidae
  • †Cratomastotermitidae
  • Hodotermitidae
  • Kalotermitidae
  • Mastotermitidae
  • Rhinotermitidae
  • Serritermitidae
  • Stolotermitidae
  • Stylotermitidae
  • Termitidae
  • Termopsidae

Mchwa ni wadudu wadogo wa oda ya chini Isoptera katika oda Blattodea wanaoishi kwa makoloni makubwa katika vichuguu. Takriban spishi zote hula ubao.

Kila koloni lina malkia, mfalme, askari na wafanyakazi. Askari na wafanyakazi hawana mabawa lakini malkia na mfalme waliwahi kuwa na mabawa walipokuwa vijana. Mfalme anamtia malkia mimba na huyu anazaa mayai mengi sana. Askari wanalinda kichuguu na wafanyakazi wanafanya kazi nyingine zote.

Mara kwa mara wafanyakazi wanawapatia majana kadhaa chakula fulani ili wawe wadudu wanaoweza kuzaa. Wadudu hawa wana mabawa na huitwa kumbikumbi.

Spishi kadhaa za Afrika

Picha

Bidii na umoja

Mchwa wametumika katika hadithi nyingi za kitoto ili kufunza maadili ya bidii na umoja. Kwa kawaida, mchwa hukaa wote pamoja katika koloni.

Katika maandiko ya Biblia ya Kikristo katika kitabu cha Methali, wakristo wameombwa waige mchwa katika utendakazi na umoja. Mdudu huyu huishi kwa kushirikiana na kutangamana. Yeye halali kabla atafute chakula cha kutosha na cha kuweka akiba. Katika kitabu kitakatifu cha Waislamu cha Kurani, Sulayman alisikia mchwa akiwaonya wengine warudi nyumbani wasije wakapondwapondwa.

Mwandishi Aesop pia aliandika kuhusu bidii ya mchwa katika hadithi yake 'The Ant and the Grasshopper'.

Usumbufu wa mchwa

Hata hivyo, watu wengi huona mchwa kama kimelea anayewasumbua haswa anapoishi karibu na majengo ya watu. Mchwa hula mbao na kwa hiyo huharibu milango ya nyumba na kuuma watu. Kwa hiyo, watu wengi hutafuta ant killers. Wanaofanya taaluma ya pest control kwanza huangalia mchwa ni wa aina gani ili aweze kujua amejificha wapi maana wao hujifinya pahala kwingi.

Viungo vya nje

https://en.wikipedia.org/wiki/Ant

https://pestpolicy.com/best-fire-ant-killer-for-lawns/

Makala hii kuhusu mdudu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mchwa kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.