Rukia yaliyomo

Majadiliano ya mtumiaji:Hreflafa : Tofauti kati ya masahihisho

no edit summary
No edit summary
 
Usikate tamaa kama nyongeza hizi hazibaki, ni kawaida hii ni njia jinsi gani wikipedia inakua na kuboreshwa. Lakini fanya utafiti. Sisi tuko tayari kukushauri namna gani. Uliza tu usiogope. '''[[Mtumiaji:Kipala|Kipala]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Kipala|majadiliano]])''' 09:04, 26 Aprili 2018 (UTC)
 
Kwa Kipala
Ni mambo mengi sana sielewi. Haswa likija swala la majadiliano. Sijui hata kama nafanya vizuri saa hii nikihariri hapa. Kwanza nimeona kuwa nikiandika makala mapya, kuna wengine wanaongeza jamii ya makala hayo. Ningependa kujua jinsi ya kuongeza jamii hizo.
199

edits