Darasa : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|mfano wa darasa la wanafunzi wakiwa wanasoma '''Darasa''' ni jengo au chumba ambacho mafunzo ya elimu hutolewa mas...'
 
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
[[Picha:CLASS_ROOM.jpg|thumb|mfano wa darasa la wanafunzi wakiwa wanasoma
[[Picha:CLASS_ROOM.jpg|thumb|Darasa la wanafunzi wakiwa wanasoma.]]
'''Darasa''' (kutoka [[neno]] la [[Kiarabu]]) ni [[jengo]] au [[chumba]] ambamo mafunzo ya [[elimu]] hutolewa, hasa [[shuleni]].
]]

'''Darasa''' ni [[jengo]] au [[chumba]] ambacho mafunzo ya [[elimu]] hutolewa ma[[shuleni]].Ma[[darasa]] haya hujengwa ili kunapotokea [[mvua]],[[vumbi]] au chochote kile ambacho kinaweza kuleta [[madhara]] kwa [[wanafunzi]].Ma[[darasa]] hubeba wanafunzi,ubao wa kufundishia,madawati pia meza ya waalimu.
Madarasa haya hujengwa ili kunapotokea [[jua]], [[mvua]], [[vumbi]] au chochote kile ambacho kinaweza kuleta [[madhara]] kwa [[wanafunzi]] wasipatwe nacho.

Kwa kawaida darasa huwa na [[ubao]] wa kufundishia, [[dawati|madawati]], pia [[meza]] ya [[walimu]] n.k.

Darasa ni pia jina la mkondo wa [[wanafunzi]] wanaosomea humo, na la [[somo]] linalofundishwa.

{{mbegu-elimu}}

[[Jamii:Majengo]]
[[Jamii:Elimu]]

Pitio la 14:33, 16 Septemba 2017

Faili:CLASS ROOM.jpg
Darasa la wanafunzi wakiwa wanasoma.

Darasa (kutoka neno la Kiarabu) ni jengo au chumba ambamo mafunzo ya elimu hutolewa, hasa shuleni.

Madarasa haya hujengwa ili kunapotokea jua, mvua, vumbi au chochote kile ambacho kinaweza kuleta madhara kwa wanafunzi wasipatwe nacho.

Kwa kawaida darasa huwa na ubao wa kufundishia, madawati, pia meza ya walimu n.k.

Darasa ni pia jina la mkondo wa wanafunzi wanaosomea humo, na la somo linalofundishwa.

Makala hii kuhusu mambo ya elimu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Darasa kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.