Nenda kwa yaliyomo

Amapiano : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
Narudi tena!
Tag: Reverted
Mstari 1: Mstari 1:
'''Amapiano''' ni neno la [[Kizulu]] au [[Kixhosa|Ki-Xhosa]] lenye tafsiri ya "[[piano]]." Hii ni aina ndogo ya muziki wa house ambayo ilijitokeza nchini [[Afrika Kusini]] katika mwanzo wa miaka ya 2010. Ni mchanganyiko wa house liliobishiba, jazz, na muziki wa lounge uliojulikana kwa vifaa vya muziki vya synthesizers na mistari mpana ya bass yenye nguvu za mapigo.
'''Amapiano''' (kwa [[Kizulu]] "the [[Piano|pianos]] " <ref>{{Cite web|title=Amapiano - what it's all about?|url=https://www.musicinafrica.net/magazine/amapiano-what-it-all-about|accessdate=2021-01-30|publisher=musicinafrica.net}}</ref> ) ni [[mtindo]] wa [[muziki]] ulioibuka nchini [[Afrika Kusini]] mwaka [[2012]]. Amapiano ni muziki wa [[jazz]] unaojulikana kwa synths, na sauti laini na besi. <ref>{{Cite web|url=https://www.okayafrica.com/amapiano-best-songs-2019/|title=The 10 Best Amapiano Songs of 2019|date=2019-12-17|work=OkayAfrica|language=en|accessdate=2020-03-29}}</ref> Unatofautishwa na [[nyimbo]] nyingine za [[kinanda]] zenye [[sauti]] ya juu, mistari ya besi na midundo.<ref>{{Cite web|title=South Africa, King of Amapiano|url=https://hipupmusic.com/editorial/south-africa-king-of-amapiano/|accessdate=2023-07-06|publisher=Hipupmusic}}</ref>

== Asili ==
== Asili ==
Ingawa aina hii ya muziki ilipata umaarufu huko Katlehong kitongoji cha [[Mashariki]] mwa [[Johannesburg]], kuna utata mwingi kuhusu asili yake, pamoja na maelezo mbalimbali ya mitindo ya muziki katika vitongoji vya [[Johannesburg]] - ''[[Soweto]],'' Alexandra, Vosloorus na Katlehong. Kwa sababu ya ufanano wa aina hizo, baadhi ya watu wanadai kuwa aina hiyo ilianza [[Pretoria]] na kumekuwa na mjadala kuhusu [[asili]] ya Amapiano. <ref>{{Cite web|url=https://www.timeslive.co.za/sunday-times/lifestyle/2019-07-07-amapiano-a-township-sound-with-staying-power/|title=Amapiano: a township sound with staying power|work=TimesLIVE|language=en-ZA|accessdate=2019-10-29}}</ref> <ref>{{Cite web|author=Joyce|first=Liam Karabo|title=Meet the vocalist featured on the biggest amapiano tracks|url=https://www.iol.co.za/entertainment/music/local/meet-the-vocalist-featured-on-the-biggest-amapiano-tracks-35610310|publisher=Independent Online|accessdate=1 November 2019|date=23 October 2019}}</ref> <ref>{{Cite web|url=https://www.sowetanlive.co.za/sundayworld/lifestyle/2019-05-28-amapiano-a-new-movement-period/|title=Amapiano a new movement... Period|work=SowetanLIVE|language=en-ZA|accessdate=2019-10-29}}</ref>

Pitio la 09:31, 24 Agosti 2023

Amapiano ni neno la Kizulu au Ki-Xhosa lenye tafsiri ya "piano." Hii ni aina ndogo ya muziki wa house ambayo ilijitokeza nchini Afrika Kusini katika mwanzo wa miaka ya 2010. Ni mchanganyiko wa house liliobishiba, jazz, na muziki wa lounge uliojulikana kwa vifaa vya muziki vya synthesizers na mistari mpana ya bass yenye nguvu za mapigo.

Asili

Ingawa aina hii ya muziki ilipata umaarufu huko Katlehong kitongoji cha Mashariki mwa Johannesburg, kuna utata mwingi kuhusu asili yake, pamoja na maelezo mbalimbali ya mitindo ya muziki katika vitongoji vya Johannesburg - Soweto, Alexandra, Vosloorus na Katlehong. Kwa sababu ya ufanano wa aina hizo, baadhi ya watu wanadai kuwa aina hiyo ilianza Pretoria na kumekuwa na mjadala kuhusu asili ya Amapiano. [1] [2] [3]

Marejeo

  1. "Amapiano: a township sound with staying power". TimesLIVE (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2019-10-29.
  2. Joyce, Liam Karabo (23 Oktoba 2019). "Meet the vocalist featured on the biggest amapiano tracks". Independent Online. Iliwekwa mnamo 1 Novemba 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "Amapiano a new movement... Period". SowetanLIVE (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2019-10-29.
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Amapiano kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.