Luzern
Mandhari
Luzern ni jiji katikati mwa Uswisi, katika sehemu inayozungumza Kijerumani.
Luzern ni mji mkuu wa jimbo la Luzern na sehemu ya wilaya ya jina hilohilo moja.
Ikiwa na idadi ya watu takribani 82,000, Luzern ni mji wenye watu wengi zaidi katika Uswisi ya Kati, na kitovu cha uchumi, uchukuzi, utamaduni, na vyombo vya habari katika mkoa huo.
Eneo la miji la jiji lina manispaa na miji 19 yenye idadi ya watu wapatao 220,000.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu maeneo ya Uswisi bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Luzern kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |