Ludwig Aschoff

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Prof.Ludwig Aschoff

Albert Ludwig Aschoff (10 Januari 1866 - 24 Juni 1942) alikuwa daktari bingwa wa Ujerumani wa magonjwa ya damu.

Alichukuliwa kuwa ni mmoja wa wataalamu wa mwanzo wa karne ya 20 na daktari muhimu wa Ujerumani baada ya Rudolf Virchow.

Maisha[hariri | hariri chanzo]

Askoff alizaliwa huko Berlin, Ujerumani. Alijifunza mambo ya madawa katika Chuo Kikuu cha Bonn, Chuo Kikuu cha Strasbourg, na Chuo Kikuu cha Würzburg.

Baada ya kuimarisha uwezo wake mwaka 1894, Ludwig Aschoff alichaguliwa kuwa profesa wa ugonjwa wa damu wa hospitali ya Göttingen mnamo mwaka wa 1901. Aschoff alihamishwa hospitali na kupelekwa Marburg mwaka 1903 ili awe mkuu wa idara ya anatomy pathological.

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ludwig Aschoff kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.