Göttingen

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Göttingen

Mji wa Göttingen (De-Göttingen-pronunciation.ogg Göttingen (info)) ni mji mmojawapo wa Ujerumani. Uko upande wa Kusini-Mashariki wa jimbo la Saksonia ya chini (kwa Kijerumani: Niedersachsen), na tangu mwaka wa 1965 umehesabika kama mji mkubwa (au jiji) kwa vile umevuka idadi ya wakazi zaidi ya laki moja. Göttingen inajulikana hasa kwa chuo kikuu chake ambacho kimezinduliwa rasmi mwaka wa 1737.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Commons-logo.svg
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Flag Germany template.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Ujerumani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Göttingen kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.