Lucas Torreira

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Torreira akituliza mpira kifuani.

Lucas Sebastián Torreira (alizaliwa 11 Februari 1996) ni mchezaji wa soka wa Uruguay ambaye anacheza kama kiungo mkabaji wa klabu ya Ligi Kuu ya Uingereza Arsenal FC na timu ya taifa ya Uruguay.

Maisha[hariri | hariri chanzo]

Torreira alianza kazi ya soka la vijana katika klabu ya Bentos Fray mwaka 2013. Baadae alijiunga na timu ya Sampdoria ya Italia mnamo Januari 2016.

Tarehe 10 Julai 2018, Torreira alijiunga na klabu ya Uingereza Arsenal kwa ada ya £ milioni 26.4. Torreira alipewa jezi namba 11, ambayo ilikuwa imevaliwa na Mesut Özil, ambaye alicheza namba 10 baada ya kuondoka kwa Jack Wilshere.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Lucas Torreira kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.