Nenda kwa yaliyomo

Louisa Akpagu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Louisa Akpagu
Amezaliwa 22 Desemba 1974
Nigeria
Nchi Nigeria
Kazi yake Mchezaji wa mpira wa miguu

Louisa Akpagu (alizaliwa 22 Desemba, 1974) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa wanawake wa kutoka nchini Nigeria ambaye alicheza kama golikipa.

Ni mchezaji wa timu ya taifa ya wanawake ya mpira wa miguu ya nchini Nigeria. Alikuwa mmoja ya wachezaji wa timu iliyocheza Kombe la Dunia la FIFA la wanawake mwaka 1995.[1]

  1. "FIFA Women's World Cup Sweden 1995 - Teams". FIFA Women's World Cup Sweden 1995. FIFA. 1995. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-12-21. Iliwekwa mnamo 2007-09-28. {{cite web}}: |archive-date= / |archive-url= timestamp mismatch; 2015-07-02 suggested (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Louisa Akpagu kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.