Nenda kwa yaliyomo

Lopito Feijóo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Lopito Feijóo (huitwa pia João André da Silva Feijó; alizaliwa nchini Angola 29 Septemba 1963) ni mwandishi na mzungumzaji wa lugha ya Kireno.[1]

Alisoma katika chuo kikuu Universidade Agostinho Neto, Luanda.[2]

Lopito Feijóo ameandika mashairi katika mfumo wa riwaya.[2] Ni katika kizazi cha waandishi wa Angola wanaoandika mashairi yanayolenga sana mahusiano,mapenzi na hali ngumu za maisha.[3]

  1. "Angola: Two Books of Writer Lopito Feijó Already in Stores". AllAfrica. 2013-07-27. Iliwekwa mnamo 2014-03-12.
  2. 2.0 2.1 "J. A. S. Lopito Feijóo K.-Biografia" (kwa Portuguese). Nóssomos. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2014-03-13. Iliwekwa mnamo 2014-03-12.{{cite web}}: CS1 maint: unrecognized language (link)
  3. James, Martin W. (27 Mei 2004). Historical Dictionary of Angola. Scarecrow Press. uk. 86. ISBN 978-0-8108-6560-0.{{cite book}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Lopito Feijóo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.