Nenda kwa yaliyomo

Liz Carpenter

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

'

Liz Carpenter
Liz Carpenter mnamo 1987
AmezaliwaSeptemba 1, 1920
AmefarikiMachi 20, 2010
Kazi yakemwandishi, mwanaharakati, ripota, mshauri wa vyombo vya habari, mwandishi wa hotuba, mwanasiasa, na mtaalamu wa mahusiano ya umma


Mary Elizabeth Sutherland Carpenter (Septemba 1, 1920 - Machi 20, 2010) alikuwa mwandishi, mwanaharakati, ripota, mshauri wa vyombo vya habari, mwandishi wa hotuba, mwanasiasa, na mtaalamu wa mahusiano ya umma . [1] [2] [3]

Alikua mwanamke wa kwanza kuwa mtendaji msaidizi wa Makamu wa Raisi Lyndon Baines Johnson tangu mwaka 1961 hadi 1963, na pia alikua katibu wa waandishi wa habari wa mke wa Raisi Bird Johnson kutoka mwaka 1963 hadi 1969, Carpenter alikuwa mwanachama mashuhuri na pia rafiki wa karibu wa Johnson White House.

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Liz Carpenter kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.