Lipuli fc

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Nembo ya Lipuli fc

Lipuli fc ni timu ya mpira wa miguu mkoani Iringa iliyopanda tena daraja mwaka 2017 ingawa ilikuwa ikicheza Ligi Kuu Tanzania Bara, mnamo mwaka 2000 ndipo iliposhuka daraja.

Timu ya Lipuli inamilikiwa na halmashauri ya mji wa Iringa ikiwa na wadhamini wachache wakiwemo Vodacom na benki ya DTB.

Jina lake lake jingine ni Wanapaluhengo.

Mwaka 2018 inashiriki ligi kuu na kombe la ASF.

Football.svg Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Lipuli fc kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.