Nenda kwa yaliyomo

Kisisili

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Lingua siciliana)
Uchunguzi wa asili ya maneno 5,000 kutoka Dizionario etimologico siciliano iliyotungwa na Salvatore Giarrizzo:[1]
Kilatini 2.792 (55,84%)
Kigiriki 733 (14,66%)
Kihispania 664 (13,28%)
Aina za Kifaransa 318 (6,36%)
Kiarabu 303 (6,06%)
Kikatalunya 107 (2,14%)
Kiprovenza 83 (1,66%)

Kisisili (kwa lugha hiyo: Sicilianu) ni mojawapo kati ya Lugha za Kirumi, ingawa asilimia 20 za maneno yake yana asili ya Kigiriki na Kiarabu.

Ndiyo ya kwanza kuwa na fasihi katika ya lugha za Italia.

Hadi leo inatumiwa na watu milioni 5 hivi, hasa katika sehemu kubwa kabisa ya kisiwa cha Sicilia, lakini pia Italia Kusini na kokote walikohamia wenyeji wa sehemu hizo.

  1. Privitera, Joseph Frederic (2004). Sicilian: The Oldest Romance Language (kwa Kiingereza). Legas. ISBN 9781881901419.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Wikipedia
Wikipedia
Kisisili ni toleo la Wikipedia, kamusi elezo huru
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kisisili kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.