Life Support For Change

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Life Support for Change (kifupi: LSForC) ni asasi isiyo ya kiserikali [1] wala kifaida iliyoanzishwa na Miriam Oscar Kaaya mwaka 2014 katika kata ya Mbuguni mkoani Arusha ikishughulika na masuala ya watoto na wanawake.

Malengo[hariri | hariri chanzo]

Kutengeneza mazingira wezeshi kwa watoto wanaotoka katika mazingira magumu ya vijijini waweze kupata mahitaji yao ya msingi. Pia kutoa elimu ya ujasiriamali kwa wanawake ili waweze kumiliki biashara ndogondogo zitakazo wawesha kuhudumia watoto wao[2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-03-20. Iliwekwa mnamo 2020-03-20. 
  2. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-03-20. Iliwekwa mnamo 2020-03-20.