Nenda kwa yaliyomo

Leonardo Bonucci

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Bonucci akiwa na Juventus.

Leonardo Bonucci (alizaliwa 1 Mei 1987) ni mchezaji wa soka wa Italia ambaye anacheza kama beki wa kati katika klabu ya Juventus F.C. na timu ya taifa ya Italia.

Alianza kazi yake na Internazionale mwaka 2005. Mbinu zake, uwezo wa kucheza mpira ulimpelekea kuhamia Juventus msimu uliofuata, ambapo baadaye akawa mchezaji muhimu wa nyuma wa klabu wa kuitetea timu isifungwe, yeye pamoja na Giorgio Chiellini na Andrea Barzagli, walijipelekea kuwa watetezi bora katika soka la dunia.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Leonardo Bonucci kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.