Giorgio Chiellini

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Giorgio Chiellini akichezea Juventus mwaka 2012.

Giorgio Chiellini (alizaliwa 14 Agosti 1984) ni mchezaji wa soka wa Italia ambaye anacheza kama mkabaji katika timu ya klabu ya Juventus na timu ya taifa ya Italia.

Chiellini inaonekana kuwa mmojawapo ya wakabaji mahiri katika mpira wa miguu: katika mwaka 2012, The Guardian ilimwita kuwa ni mchezaji bora nafasi ya 50 duniani, na mwaka 2013 alichaguliwa kama mchezaji bora zaidi wa saba akicheza Ulaya huko Bloomberg.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Giorgio Chiellini kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.