Nenda kwa yaliyomo

Legal Drug Money

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Legal Drug Money
Legal Drug Money Cover
Studio album ya The Lost Boyz
Imetolewa 4 Juni 1996
Aina Hip Hop
Urefu 70:58
Lebo Uptown Records
Mtayarishaji Mr. Cheeks
Pete Rock
Mr. Sexxx
Charles Suitt
Easy Mo Bee
Big Dex
"Buttnaked" Tim Dawg
Dwarf the Black Prince
Wendo wa albamu za The Lost Boyz
Legal Drug Money
(1996)
Love, Peace & Nappiness
(1997)


Legal Drug Money ni albamu ya kundi la muziki wa hip hop la The Lost Boyz, ikiwa imeshirikisha wanachama kama vile Mr. Cheeks, Freaky Tah, DJ Spigg Nice na Pretty Lou. Alabmu imeshirikisha vibao vikali vitano ikiwa pamoja na wimbo kama "Renee", "Music Makes Me High", "Jeeps, Lex Coups, Bimaz & Benz", "Get Up" na "Lifestyles Of The Rich & Shameless". Makeke yao imeifanya alabmu kufikirika kama ni albamu ya hip hop ya juu sana kwa maiaka ya 90.

Albamu ilitunikiwa Dhahabu na RIAA mnamo tar. 7 Agosti ya mwaka wa 1996.

Orodha ya nyimbo

[hariri | hariri chanzo]
# Jina la Albamu Watayarishaji Waimbaji
1 "Intro" Mr. Cheeks Mr. Cheeks, Freaky Tah
2 "The Yearn" Pete Rock Mr. Cheeks, Freaky Tah
3 "Music Makes Me High" Mr. Sexxx, Charles Suitt Mr. Cheeks, Freaky Tah
4 "Jeeps, Lex Coups, Bimaz & Benz" Easy Mo Bee Mr. Cheeks, Freaky Tah
5 "Lifestyles Of The Rich & Shameless" Easy Mo Bee Mr. Cheeks, Freaky Tah
6 "Renee" Mr. Sexxx Mr. Cheeks
7 "All Right" Big Dex Mr. Cheeks, Freaky Tah
8 "Legal Drug Money" Big Dex Mr. Cheeks, Freaky Tah
9 "Get Up" Mr. Sexxx Mr. Cheeks, Freaky Tah
10 "Is This Da Part" Easy Mo Bee Mr. Cheeks, Freaky Tah
11 "Straight From Da Ghetto" Big Dex, "Buttnaked" Tim Dawg Mr. Cheeks, Freaky Tah
12 "Keep It Real" Big Dex Mr. Cheeks, Freaky Tah
13 "Channel Zero" Big Dex Mr. Cheeks, Freaky Tah
14 "Da Game" Big Dex Mr. Cheeks, Freaky Tah
15 "1,2,3" Dwarf The Black Prince Freaky Tah
16 "Lifestyles Of The Rich & Shameless [Remix]" Mr. Sexxx Mr. Cheeks, Freaky Tah

Albamu na Chati Ilizoshika

[hariri | hariri chanzo]
Mwaka Albamu Nafasi iliyoshika
Billboard 200 Top R&B/Hip Hop Albums
1996 Legal Drug Money #6 #1

Single na Nafasi Zilizoshika

[hariri | hariri chanzo]
Mwaka Wimbo Nafasi iliyoshika
Billboard Hot 100 Hot R&B/Hip-Hop Singles & Tracks Hot Rap Singles Hot Dance Music/Maxi-Singles Sales
1995 Lifestyles Of The Rich & Shameless #91 #60 #10 #20
1995 Jeeps, Lex Coups, Bimaz & Benz #67 #63 #11 #21
1996 Renee #33 #13 #3 #2
1996 Music Makes Me High #51 #28 #5 #3
1997 Get Up #60 #31 #6 #4