Nenda kwa yaliyomo

The Lost Boyz

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Lost Boyz
(kutoka kushoto kwenda kulia) Freaky Tah, Spigg Nice, Mr. Cheeks, na Pretty Lou.
(kutoka kushoto kwenda kulia) Freaky Tah, Spigg Nice, Mr. Cheeks, na Pretty Lou.
Maelezo ya awali
Asili yake Queens, New York, Marekani
Aina ya muziki Hip hop
Miaka ya kazi 1995–1999
Studio Uptown, Universal, Contango
Wanachama wa sasa
Mr. Cheeks
Freaky Tah
DJ Spigg Nice
Pretty Lou

The Lost Boyz lilikuwa kundi la muziki wa hip hop kutoka mjini South Jamaica, Queens, New York, Marekani. Kundi lilikuwa likiongozwa na MC Mr. Cheeks, MC mdakiaji na promota Freaky Tah (1971–1999), DJ Spigg Nice, na Pretty Lou. Pia, wao ndiyo waanzilishi wa LB fam kutoka mjini South Jamaica, Queens.

Shughuli za sanaa[hariri | hariri chanzo]

Muziki[hariri | hariri chanzo]

Albamu[hariri | hariri chanzo]

Maelezo ya Albamu
Legal Drug Money
 • Imetolewa tar:: 4 Juni 1996
 • Tunu: Dhahabu
 • Nafasi iliyosha katika chati za Billboard 200 Bora ni:: 6
 • R&B/Hip-Hop chart position: 1
Love, Peace & Nappiness
 • Imetolewa tar:: 17 Juni 1997
 • Tunu: Dhahabu
 • Nafasi iliyosha katika chati za Billboard 200 Bora ni:: 9
 • R&B/Hip-Hop chart position: 2
LB IV Life
 • Imetolewa tar:: 28 Septemba 1999
 • Nafasi iliyosha katika chati za Billboard 200 Bora ni:: 32
 • R&B/Hip-Hop chart position: 8
Lost Boyz Forever
 • Imetolewa tar:: 21 Juni 2005
 • Nafasi iliyosha katika chati za Billboard 200 Bora ni:: -
 • R&B/Hip-Hop chart position: -

Single[hariri | hariri chanzo]

Mwaka Single Nafasi iliyoshika Albamu
U.S. Hot 100 U.S. R&B U.S. Rap
1995 "Lifestyles Of The Rich & Shameless" 91 60 10 Legal Drug Money
"Jeeps, Lex Coups, Bimaz & Benz" 67 63 11
1996 "Renee" 33 13 3
"Music Makes Me High" 51 28 5
1997 "Get Up" 60 31 al
"Me & My Crazy World" 52 23 5 Love, Peace & Nappiness

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu The Lost Boyz kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.