Lango:Kenya/Wasifu uliochaguliwa/2

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Dedan Kimathi

Dedan Kimathi (31 Oktoba 192018 Februari 1957) alikua Mkenya aliyeongoza harakati za kundi la Mau Mau za kutwaa ardhi iliyokuwa iko mikononi mwa wakoloni toka Uingereza. Kimathi alihukumiwa na kunyongwa kutokana na harakati zake za kuikomboa nchi ya Kenya. Waingereza, Serekali ya wakoloni ilimchukua Kimathi kama mgaidi, lakini wananchi wengi wa kabila la Gikuyu walimchukua Kimathi kama mpigania uhuru. Alizaliwa mnamo 31 Oktoba 1920 katika kijiji cha Thenge huko tarafa ya Tetu, wilaya ya Nyeri na alinyongwa na Waingereza tarehe 18 Februari 1957.

(Soma Zaidi...)