Nenda kwa yaliyomo

Lango:Afrika/Je wajua

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Je, wajua...?

[hariri chanzo]

Je, wajua...? kwa Septemba 2012

[hariri chanzo]

...kwamba Ubuntu au "Obuntu" ni falsafa ya Kiafrika inayosisitiza mahusiano na ushirikiano wa jamii kama msingi wa maisha bora na amani katika jamii. Neno ubuntu limetoka kwenye lugha za Kizulu na KiXhosa za Afrika Kusini. Neno la Kihaya "Obuntu" au kwaKiswahili "utu" linabeba, kwa kiasi fulani, maana ya neno Obuntu.