Nenda kwa yaliyomo

Kwintini wa Tours

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kwintini wa Tours (karne ya 6 - 570 hivi) alikuwa Mkristo wa Ufaransa aliyeuawa karibu na mto Indre kwa sababu ya kukataa kuzini na mke wa mwajiri wake kwa kusema dini yake inakataza uzinifu [1][2].

Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Kanisa la Kiorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake ni tarehe 4 Oktoba[3].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.