Nenda kwa yaliyomo

Kuku wa Moambe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kuku wa Moambe, ni chakula cha kuku ambacho ni maarufu huko Afrika ya Kati na kinachukuliwa kuwa ni mlo ambao hutumiwa zaidi nchini Angola . Chakula hiki kinatengenezwa kwa kuchanganya kuku, viungo na siagi ya mawese ili kuunda uthabiti wa kitoweo . Idadi kadhaa ya tofauti za kienyeji au kikanda zipo kote Kongo na Afrika ya Kati; ckukula hiki pia kinajulikana hadi nje ya bara.

Maandalizi

[hariri | hariri chanzo]

Poulet moambe (kwa Kifaransa "chicken in palm butter sauce") [1] hutayarishwa kwa kupika kuku katika moambe (palm butter) na spinachi, [2] kisha kutiwa viungo kama vile peri-peri au pilipili nyekundu. Kwa kawaida huliwa pamoja na viazi vitamu, vitunguu vya kahawia, mayai ya kuchemsha na mchuzi unaotengenezwa kutokana na karanga zilizosagwa. [3] [4] Kuku wa Moambe pia huweza kuambatanishwa na wali au paste ya manioc ( cassava ). [5] [6] Kuku inaweza kubadilishwa na bata au samaki. [4] [7]

  1. Jeanne Jacob; Michael Ashkenazi (15 Januari 2014). The World Cookbook: The Greatest Recipes from Around the Globe, 2nd Edition [4 Volumes]: The Greatest Recipes from Around the Globe. ABC-CLIO. uk. 473. ISBN 978-1-61069-469-8.{{cite book}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. Bob Swain; Paula Snyder (1991). Through Africa: The Overlanders' Guide. Bradt Publications. uk. 73. ISBN 978-0-946983-65-0.
  3. The Belgian Congo Today. 1952. uk. 522.
  4. 4.0 4.1 Ken Albala (2011). Food Cultures of the World Encyclopedia. ABC-CLIO. uk. 37. ISBN 978-0-313-37626-9.
  5. "15 of Africa's favorite dishes", 12 July 2017. 
  6. William LeMaire (8 Januari 2014). Crosscultural Doctoring: On and Off the Beaten Path. BookCountry. uk. 27. ISBN 978-1-4630-0341-8.{{cite book}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  7. Nelson Doubleday; C. Earl Cooley (1979). Encyclopedia of World Travel. Doubleday. uk. 359. ISBN 978-0-385-14669-2.
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kuku wa Moambe kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.