Kubiringiza

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Kubiringiza kwenye mchezo wa video.

Katika kiwambo, kubiringiza (kwa Kiingereza: scrolling) ni kusogeza picha au nakala juu na chini au kushoto na kulia.

Kwenye tarakilishi, nakala au picha zinaweza kubiringizwa juu na chini kwa kipanya.

Juu ya hayo, nakala na picha zinaweza kubiringizwa kwa kibonyezo cha ukurasa unaofuata au kibonyezo cha ukurasa uliotangulia vya baobonye.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Petzell, M. (2005). Expanding the Swahili vocabulary. Africa & Asia, 5, 85-107.