Kibonyezo cha ukurasa unaofuata
Katika utarakilishi, kibonyezo cha ukurasa unaofuata au ukurasa unaofuata (kwa Kiingereza: page down key) ni kibonyezo cha baobonye la tarakilishi kinachotumiwa ili ibiringize chini nakala.
Kinyume chake, "Page up key" kinaitwa kibonyezo cha ukurasa uliotangulia.
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- Petzell, M. (2005). Expanding the Swahili vocabulary. Africa & Asia, 5, 85-107.