Komal Oli

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Komal Oli

Komal Oli (amezaliwa 16 Aprili) ni mwimbaji, mwanasiasa na mtangazaji wa redioni pamoja na televisheni nchini Nepal. Aliingia katika siasa za Nepal hivi karibuni na ni mwanachama wa bunge la taifa la shirikisho akiwakilisha chama cha kikomunisti cha Nepal (NCP) akiziba nafasi iliyohifadhiwa kwa ajili ya wanawake.[1][2][3]

Maisha ya awali[hariri | hariri chanzo]

Komal alizaliwa tarehe 16 Aprili huko Tikari, Dang na wazazi wake Deepa na Lalit Oli. Yeye ni mkubwa kati ya watoto wanne. Alijifunza mwenyewe muziki akiwa shuleni.[4]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Komal Oli". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-09-27. Iliwekwa mnamo 21 April 2019.  Check date values in: |accessdate= (help)
  2. "गीत गाउन प्युठान पुगिन् राष्ट्रियसभा सदस्य कोमल वली". RatoPati (kwa Kinepali). 2018-02-18. Iliwekwa mnamo 2022-07-23.  Unknown parameter |url-status= ignored (help)
  3. "Komal Oli worried about Dashain ticket fares", My Republica. Retrieved on 21 April 2019. 
  4. "Komal Oli Biography". Iliwekwa mnamo 21 April 2019.  Check date values in: |accessdate= (help)
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Komal Oli kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.