Koech Kiprop
Mandhari
Koech Kiprop (alizaliwa 1938) ni mwanariadha kutoka Kenya.[1] Alishiriki katika warsha ya wanariadha wanaume walioshiriki kwenye michezo ya Olimpiki ya mwaka 1964 inayojulikana kwa jina la (decathlon) iliyofanyika Tokyo, Japani.[2] Mwaka 1966 alishiriki katika decathlon ya wanaume kwenye Michezo ya Milki ya Uingereza na Jumuiya ya Madola ya mwaka 1966 iliyofanyika Kingston, Jamaika.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Koech Kiprop". Olympedia. Iliwekwa mnamo 1 Novemba 2020.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Koech Kiprop Olympic Results". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-04-18. Iliwekwa mnamo 2024-11-09.
{{cite web}}
: CS1 maint: bot: original URL status unknown (link)
Makala hii kuhusu Mwanariadha wa Kenya bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Koech Kiprop kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |