Kitufe
Katika utarakilishi, kitufe (kwa Kiingereza: button, command button au push button) ni kifaa michoro kinachoruhusu mtumiaji kuanzisha tukio fulani kama kunakili na kubandika au kufunga dirisha.
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- Kahigi, K. K. (2007). Ujanibishaji wa Office 2003 na Windows XP kwa Kiswahili Sanifu. Kioo cha Lugha, 5(1).