Kunakili na kubandika
![]() | Makala hii au sehemu ya makala hii inahitaji masahihisho kwa upande mmoja wa zifuatazo:
|

Nembo ya kukata, kunakili na kubandika kwenye ERP5.
Katika utarakilishi, kunakili na kubandika (kwa Kiingereza: copy and paste) ni amri ya tarakilishi inayowezesha kuhamisha data au nakala.
Kukata na kubandika (cut and paste) ni amri nyingine tofauti.
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- Petzell, M. (2005). Expanding the Swahili vocabulary. Africa & Asia, 5, 85-107.