Majadiliano:Kunakili na kubandika

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Istilahi???[hariri chanzo]

Kutunza na kubandika si Kiswahili cha copy-paste. Nilinganisha vyanzo vyote nilvyo navyo (orodha ya Microsoft, ya Kilinux na pia kamusi ya kompyuta ya TUKI), pamoja na matumizi ya kwaida ya lugha, hii ni "nakili-bandika". Naomba utueleze je unachota msamiati wako wapi? Maana tunapaswa kujitahadhari tusisambaze misamiati isiyo na msingi. Kwenye uwanja wa kompyuta tatizo ni kubwa kwa kutosha. Namwomba mwandishi atumie muda wako kidogo kwa majadliano hapa.