Dirisha (utarakilishi)

Dirisha la programu unaitwa Firefox.
Katika utarakilishi, dirisha au dirisha waraka (kwa Kiingereza: window) ni kipengee michoro ya kidhibiti. Dirisha ni eneo la mwono linaloshikilia kiolesura michoro cha mtumiaji wa programu. Kwa mfano, dirisha linaweza kushikilia kivinjari au waraka PDF.
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- Kahigi, K. K. (2007). Ujanibishaji wa Office 2003 na Windows XP kwa Kiswahili Sanifu. Kioo cha Lugha, 5(1).