Nenda kwa yaliyomo

Kisiwa cha Kusini (Turkana)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kisiwa cha Kusini (Turkana) ni kisiwa cha kaunti ya Marsabit, kaskazini mwa Kenya, kilichotokana na volikano yenye kimo cha mita 721 juu ya usawa wa bahari.

Kinapatikana katika ziwa Turkana.

Ni hifadhi ya taifa ya Kenya inayotambulikana na UNESCO kama mahali pa Urithi wa Dunia.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]